HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, January 31, 2012

BENKI YA POSTA TANZANIA SASA KUANZA KUPOKEA MALIPO YA KODI YA MAPATO NA MALIPO YA LESENI ZA UDEREVA

MKURUGENZI WA BENKI YA POSTA TANZANIA(TPB),SABASABA MOSHINGI (KUSHOTO) AKIFAFANUA JAMBO KWENYE MKUTANO WA WAANDISHI WA HABARI,KUELEZEA MKATABA KATI YA BENKI HIYO NA TRA,AMBAPO MATAWI YOTE YA BENKI YA POSTA TANZANIA YANAPOKEA MALIPO YA KODI YA MAPATO NA MALIPO YA LESENI ZA UDEREVA.KULIA NI KAIMU MKURUGENZI KITENGO CHA ELIMU KWA MLIPA KODI ALLAN KIULA.MKUTANO HUU ULIFANYIKA LEO MAKAO MAKUU YA BENKI YA POSTA TANZANIA.
MKURUGENZI WA BENKI YA POSTA TANZANIA (TPB) SABASABA MOSHINGI (KUSHOTO) AKIPEANA MKONO NA KAIMU MKURUGENZI KITENGO CHA ELIMU KWA MLIPA KODI WA TRA,ALLAN KIULA KWENYE MKUTANO WA WAANDISHI WA HABARI,KUELEZEA MAKUBALIANO KATI YA BENKI HIYO NA TRA,AMBAPO MATAWI YOTE YA BENKI YA POSTA TANZANIA YANAPOKEA MALIPO YA KODI YA MAPATO NA MALIPO YA LESENI ZA UDEREVA.MKUTANO HUU ULIFANYIKA LEO MAKAO MAKUU YA BENKI YA POSTA TANZANIA.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad