HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, October 25, 2011

ZIARA YA WAKUU WA VYOMBO VYA HABARI KAGERA SUGAR


 MENEJA WA KIWANDA CHA SUKARI CHA KAGERA MHANDISI NESTORY RWECHUNGURA AKIWAELEZA WAKUU WA VYOMBO VYA HABARI JINSI KIWANDA CHAKE KINAVYOFANYA KAZI WAKATI ZIARA YA VIONGOZI HAO KIWANDANI NA KATIKA MASHAMBA YA KAMPUNI HIYO MWISHONI MWA WIKI. ZIARA HIYO ILIANDALIWA NA MFUKO WA HIFADHI YA JAMII (NSSF).
 WAKUU WA VYOMBO VYA HABARI WAKIPATA MAELEZO YA KITAALAMU JUU YA MAFANIKIO MAKUBWA YA KIWANDA CHA SUKARI CHA KAGERA KATIKA UMWAGILIAJI TOKA KWA MENEJA UMWAGILIAJI WA KAMPUNI HIYO BWANA LAIZER MORUMO WAKATI WA ZIARA YAO KIWANDANI HAPO MWISHONI MWA WIKI.
 WAKIPIGA PICHA YA KUMBUKUMBU TOKA KUSHOTO NI EDDA SANGA TOKA MLIMANI MEDIA, ASSUMPTA MASSOI WA TBC NA DINNA CHAHALI WA CHANNEL 10 WAKIWA NI MIONGONI MWA WAKUU WA VYOMBO VYA HABARI WALIOTEMBELEA KIWANDA CHA SUKARI CHA KAGERA KUONA MIRADI INAYOFADHILIWA NA MFUKO WA HIUFADHI YA JAMII (NSSF) MWISHONI MWA WIKI.
MENEJA UHUSIANO WA MFUKO WA HIFADHI YA JAMII (NSSF) MS EUNICE CHIUME (KULIA) AKIWAONGOZA WAKUU WA VYOMBO VYA HABARI KUTEMBELEA KIWANDA CHA SUKARI CHA KAGERA MWISHONI MWA WIKI. ZIARA HIYO ILIFADHILIWA NA NSSF ILI KUONA MIRADI MIKUBWA YA KIUCHUMI INAYOKOPESHWA NA MFUKO HUO WA JAMII.PICHA NA MADANGA SHAABAN MADANGA

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad