Kabaaaghhh.........!!!! tayari kishalia hapo,yaani yule wa mbele kasevu kweli kweli maana ngoma ilikuwa yake hii.hapa ni kwenye makutano ya Barabara ya Kaunda na ile inayoendea kutokea kwenye mataa ya Salenda briji.
Baada ya kamzinga,sasa ni maelewano ya kutengeneza gari.sijui nani anatakiwa kumlipa mwenzake hapo??
No comments:
Post a Comment