HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, October 25, 2011

airtel yawapeleka wateja wake kuangalia sinema mpya ya John English Reborn



 Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya simu za mikononi ya Airtel wakiwa na wageni wao waliokuwa wamefika kwenye uzinduzi wa movie mpya ya John English Reborn iliyozinduliwa hivi karibuni katika ukumbi wa sinema uliopo Mlimani City jijini Dar es Salaam.
 Baadhi ya wageni walioitikia wakiwa ni wenye furaha kabla ya kuingia kwenye ukumbi wa sinema wa Mlimani City kujionea bonge la Movie la John English Reborn, jijini Dar es Salaam hivi karibuni.


kwa picha zaidi bofya hapa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad