Shindano la kumsaka mrembo wa chuo
kikuu cha Kampala International University 2011 (KIU) linatarajiwa kufanyika
jumamosi hii katika ukumbi wa Savanna Lounge (quality center) uliopo
barabara ya Nyerere, jijini Dar es Salaam.
jumla ya warembo 12 watachuana vikali kuwania taji hilo siku
ya tarehe 22 octoba.
Shindano litapambwa na wasanii wa
kizazi kipya ambao ni Dully sykes,D-nob,Ngoma za asili na vijana wa
kutikisika(shekrs),mbali ya burudani hizo kutakuwa na suprize ya majaji
pamoja masupastaa wa movie.
Miss Kampala Internationa 2011
imeandaliwa na serikali ya wanafunzi wa chuo hicho ikishirikana na wadau maarufu wa
mambo ya urembo na mitindo nchini Tanzania,tiketi za fainali hizi
zinapatikana CLOUDS fM,CHUONI KWAO,JB BELMONT HOTEL,SAVANNA
LOUNGE(quality center)kitchen hut (mlimani city) kwa iasi cha 10,000/=
(regular) na V.I.P 30,000/=
No comments:
Post a Comment