HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, October 17, 2011

tamasha la Kili Jivunie Utanzania lafanyika Mkoani Mbeya

 Kaimu Kamnada wa Polisi Mkoa wa Mbea, Anaclet Malindisa akizindua rasmi maandamano ya amani ambayo ni sehemu ya tamasha la Kili Jivunie Utanzania yaliyofanyika mwishoni mwawiki Mkoani Mbeya. Kushoto ni Meneja wa Bia ya Kilimanjaro waandaaji watamasha hilo, George Kavishe.
 Kiongozi wa Bendi ya Extra Bongo, Ally Choki (kulia) akiimba pamoja na Halid Chokoraa katika tamasha la Kili jivunie Utanzania lililofanyika mwishoni mwa wiki kwenye viwanja vyua CCM Ilomba mkoani Mbeya.
Wanenguaji wa kundi la muziki wa dansi la Extra Bongo, wakicheza show wakati kundi hilo lililopotoa burudani kali katika tamasha la Kili jivunie Utanzania lililofanyika mwishoni mwa wiki mjini Mbeya katika viwanja vya CCM Ilombo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad