HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, October 17, 2011

Juma Nature, Barnaba na Roma wafunika tamasha la miaka 50 ya uhuru la Airtel Mbeya

Msanii wa muziki wa kizazi kipya wa Bongo Fleva,Roma akitumbuiza moja ya nyimbo zake kwa wakazi wa mji wa Mbeya na vitongoji vyake wakati wa tamasha la burudani la miaka 50 ya Uhuru wa Kuongea lililoandaliwa na Kampuni ya simu ya Mkononi ya Airtel na kufanyika katika viwanja vya Luandanzove mjini Mbeya mwishoni mwa wiki, airtel pia ilisherehekea uzinduzi rasmi wa minara 20 katika vijiji ishirini ili kutoa mawasiliano bora mkoani mbeya
Msanii wa muziki wa kizazi kipya wa Bongo Fleva Barnaba Boy kutoka kundi la THT akitumbuiza moja ya nyimbo zake kwa wakazi wa mji wa Mbeya na vitongoji vyake wakati wa tamasha la burudani la miaka 50 ya Uhuru wa Kuongea lililoandaliwa na Kampuni ya simu ya Mkononi ya Airtel na kufanyika katika viwanja vya Luandanzove mjini Mbeya mwishoni mwa wiki, airtel pia ilisherehekea uzinduzi rasmi wa minara 20 katika vijiji ishirini ili kutoa mawasiliano bora mkoani mbeya
Msanii wa muziki wa kizazi kipya wa Bongo Fleva Juma Nature akitumbuiza moja ya nyimbo zake kwa wakazi wa mji wa Mbeya na vitongoji vyake wakati wa tamasha la burudani la miaka 50 ya Uhuru wa Kuongea lililoandaliwa na Kampuni ya simu ya Mkononi ya Airtel na kufanyika katika viwanja vya Luandanzove mjini Mbeya mwishoni mwa wiki. airtel pia ilisherehekea uzinduzi rasmi wa minara 20 katika vijiji ishirini ili kutoa mawasiliano bora mkoani mbeya

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad