HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, September 16, 2011

Taa za barabarani zinaposhindwa kufanya kazi kisa mgao wa umeme

1 comment:

  1. Tunakubaliana tuna matatizo ya umeme, lakini jee tuna shida ya askari wa trafic? Wakati salender trafic police wapo jirani lakini hayupo askari hata mmoja kuelekeza gari kwa mpango zao, wanasubiri mpaka ajali utokee ndiyo waje.... Wakati huo kila barabara kuu kama fire naye inahitajika trafic kuelekeza magari wakati umeme hamna au wekeni trafic signal zenye solar kama kijitonyama....... Asante

    ReplyDelete

Post Bottom Ad