HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, September 16, 2011

HABARI ZA HIVI SASA: SOKO LA MWANJELWA MBEYA LAWAKA MOTO


HABARI ILIYOTUFIKIA HIVI PUNDE TOKA JIJINI MBEYA, ZINAELEZA KUWA SOKO LA MWANJELWA (ZAMANI SIDO),LINATEKETEA KWA MOTO HIVI SASA (KAMA IONEKAVYO PICHANI) HUKU WAFANYA BIASHARA WALIOPO NDANI YA SOKO HILO WAKIKIMBIA NA KUACHA MALI ZAO,CHANZO CHA MOTO HUO BADO HAKIJAFAHAMIKA MPAKA SASA.TUNAENDELEA KUFUATILIA KWA MAKINI TUKIO HILO NA TUTAENDELEA KUFAHAMISHANA ZAIDI YATAKAYOKUWA YAKIJIRI HUKO.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad