HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, August 9, 2011

hii ndio bongo daslam...... kiwese kipo lakini hakiuzwi na serikali imechill tu

 Kituo hiki kimefungwa kabisa na wafanyakazi woote wamepewa likizo.
hata hapa pia wafanyakazi wako likizo.
Mdau akiwa kapakiwa kwenye pikipiki huku akiwa na dumu akitafuta kituo kinachouza mafuta ili aweze kwenda kuweka kwenye gari yake iliyokwama maeneo ya mikkocheni kutokana na kuisha kwa mafuta.

1 comment:

  1. CHADEMA TUANZISHE MAHANDAMANO NA TUCHOME MOTO VITUO VYOTE TUJUE MOJA ,WATANZAGIZA TUKO WAPI? TUJIFUNZE UK KAAAH

    ReplyDelete

Post Bottom Ad