Kituo hiki kimefungwa kabisa na wafanyakazi woote wamepewa likizo.
hata hapa pia wafanyakazi wako likizo.
Mdau akiwa kapakiwa kwenye pikipiki huku akiwa na dumu akitafuta kituo kinachouza mafuta ili aweze kwenda kuweka kwenye gari yake iliyokwama maeneo ya mikkocheni kutokana na kuisha kwa mafuta.
CHADEMA TUANZISHE MAHANDAMANO NA TUCHOME MOTO VITUO VYOTE TUJUE MOJA ,WATANZAGIZA TUKO WAPI? TUJIFUNZE UK KAAAH
ReplyDelete