HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, July 3, 2011

VODACOM MISS MOROGORO 2011

Vodacom Miss Morogoro wa mwaka 2011, Asha Salehe( kati kati) akiwa na mshindi wa pili, Ritha Kavishe (kulia) pamoja na mshindi wa tatu, Sharrifa Issa ( kushoto), warembo 15 walishiriki katika shindano hilo kwa mwaka huu.
Warembo walioshinda hatua ya tano bora kwenye kinyang’anyiro cha mkusaka Vodacom Miss Morogoro 2011 wakiwa katika picha ya pamoja , Julai Mosi ,mwaka huu.
Warembo wa Kinyang’anyiro cha Vodacom Miss Morogoro, 2011 wakiwa katika picha ya pamoja baaada ya kupita mbele ya watazamaji wakiwa na vazi la ubunifu.
Baadhi ya Majaji wa shindano la Vodacom Miss Morogoro 2011 ,walifuatilia kwa makini miondoko ya warembo wa shindano hilo, ( hawapo pichani),julai mosi mwaka huu kwa ajili ya kuweza kutoa alama kwa kila washiriki.Picha na John Nditi - Globu ya Jamii,Morogoro.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad