Makutano ya Mtaa wa Amani na Congo,Kariakoo.
Mtaa wa Nyamwezi na Twiga,Kariakoo.
Mtaa wa Twiga
Mtaa wa Muhoro,Kariakoo.
Mtaa wa Congo Mwisho,Kariakoo.
Mtaa wa Muhoro Kuelekea Mtaa wa Jangwani.
Mto Msimbazi unaopita katika bonde la Jangwani.halafu kwa mbaali naona msela akivua samaki.haya nimewarahisishia kazi sasa.
iko wapi hiyo halmashauri ya jiji? Aha yupo katika uvanja wa sabasaba...haya basi hii ni failure ya mkuu wa halmashauri ya jiji...he should be punished in ukonga basi
ReplyDelete