Kaimu kamanda wa polisi mkoa wa kilimanjaro Yusuph Ilembo akikata utepe kuashiria uzinduzi wa zoezi la kupanda miti 21,000 iliyopandwa na KCB benki katika chuo cha polisi Moshi CCP kama sehemu ya kampeni za kukabiliana na uharibifu wa mazingira katika maeneo yanayozunguka mlima Kilimanjaro.hilo,kushoto Meneja wa KCB tawi la Moshi Lomnyaki Saitabau .
Mfanyakazi wa KCB benki tawi la Moshi Emanuel Mzava akipanda mti katika chuo cha polisi Moshi CCP kama sehemu ya kampeni za kukabiliana na uharibifu wa mazingira katika maeneo yanayozunguka mlima Kilimanjaro.
Mfanyakazi wa KCB benki tawi la Moshi Judith Urio akipanda mti katika chuo cha polisi Moshi CCP kama
sehemu ya kampeni za kukabiliana na uharibifu wa mazingira katika maeneo yanayozunguka mlima Kilimanjaro.
Meneja wa KCB tawi la Moshi Lomnyaki Saitabau akipanda mti katika eneo la chuo cha polisi Moshi CCP kama sehemu ya kampeni za kukabiliana na uharibifu wa mazingira katika maeneo yanayozunguka mlima Kilimanjaro.
No comments:
Post a Comment