HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, July 1, 2011

MKURUGENZI MPYA WA BENKI YA POSTA AKARIBISHWA KAZINI LEO

Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya Posta Tanzania Bw. Sabasaba Moshingi (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari baada ya kuteuliwa na rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kushika wadhifa huo kulia ni Mwenyekiti wa Bondi wa Benki hiyo Prof.Lettice Kinunda.
Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya Posta Tanzania Bw. Sabasaba Moshingi na Mwenyekiti wa Bondi wa Benki hiyo Prof.Lettice Kinunda waliokaa wakiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa bodi ya banki hiyo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad