HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, July 2, 2011

LIBENEKE LA BARABARA ZA CHINI KWA CHINI LAZIDI KUSHIKA KASI KATIKATI YA JIJI

 Hili ni eneo la Posta mpya,usoni kabisa mwa jengo la Haidery Plaza ambapo kuna mashimo makubwa sana yaliyokuwa yameandaliwa kwa ajili ya ujenzi wa barabara za chini kwa chini ili kuwezesha kupungua kwa msongamano wa magari katikati ya jiji.
 Hapa ni hii gari likijaribu kupita huko chini kwa chini,lakini kutokana na kwamba mambo bado hayajakamilika fresh,gari hiyo ilikwama hapo kwa muda kidogo mapema leo asubuhi.
 Dereva wa gari hilo akimpigia mkandarasi wa ujenzi huo kumwambia kuwa mambo bado hayajakaa sawa katika eneo hilo.
Baadae Msaada tutani ulibidi uchukue nafasi yake ili kufanya mambo mengine yaende kama yanavyotakiwa.
HII NDIO BONGO DASLAMAA NA HUU NDIO MPANGOOOO.

1 comment:

  1. Nchi ya Usanii kuanzia Rais na Mawaziri wake BLAA BLAA TUU.

    ReplyDelete

Post Bottom Ad