HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, July 5, 2011

KUMBUKUMBU

Marehemu Mary-Stella Bhoke Wambura

HATIMAYE SAA, SIKU, WIKI, MWEZI NA SASA NI MWAKA MMOJA TANGU DADA YETU, RAFIKI YETU NA MFANYAKAZI MWEZETU MARY -STELLA ULIPOTUTOKA GHAFLA KWA AJALI YA GARI JULY 9, 2010.

WAFANYAKAZI WENZAKO WA TWIGA BANCORP TUNAUNGANA NA FAMILIA YAKO, NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI KUKUMBUKA KIFO CHAKO. INGAWA HAUPO NASI KIMWILI LAKINI KIROHO TUPO NAWE NA TUTAENDELEA KUKUMBUKA DAIMA MILELE.

MUNGU AIPE PUMZIKO LA MILELE ROHO YAKO AMINA.

1 comment:

  1. Asanteni sana wafanyakazi na Uongozi wa Twiga Bancorp. Sisi ndugu wa Marehemu Stella tunafarijika kuona jinsi mlivyo pamoja nasi katika kumkumbuka mpendwa wetu Stella. Misa ya Kumbukumbu itafanyika siku ya Jumapili 10 July 2011 Chamwino-Ikulu Dodoma, alipolazwa marehemu. Pia misa nyingine zitaombwa kanisa katoliki la Sinza, Mwenge na Mbezi Luisi siku hiyohiyo. Karibuni kumuombea na kumkumbuka Marystella Bhoke Wambura.

    ReplyDelete

Post Bottom Ad