HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, June 26, 2011

ZIARA YA NAPE NNAUYE MKOANI LINDI

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akihutubia mkutano wa hadhara katika mji mdogo wa Kilwa Kivinje, mkoani Lindi.
Nape akipokea kadi ya aliyekuwa katibu wa CUF kata ya Njinjo, Kilwa Mohamed Likalangala mkutano wa Kilwa Kivinje.
Wana CCM Kilwa Kivinje wakimshangilia Nape wakati anaondoka mkutanoni eneo hilo.
Nape akishauriana jambo na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Lindi, Ali Mtopa katika mkutano uliofanyika Kilwa Masoko, mkoaoni humo.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akisalimiana na viongozi baada ya kuwasili Kilwa Vijinje, mkoani Lindi. nyuma yake ni Katibu wa NEC Oganaizesheni, Asha Abdallah Juma, na kulia Ali Mtopa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad