SHAGGY ANOGESHA TAMASHA LA ZIFF - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, June 26, 2011

SHAGGY ANOGESHA TAMASHA LA ZIFF

 Mwanamuziki wa Kimarekani mwenye asili ya Jamaica,Shaggy akifanya vitu vyake katika Tamasha la Kimataifa la Filamu Zanzibar (ZIFF) usiku wa kuamkia jana na kuwapagawisha wengi waliofika katika Uwanja wa Mambo ndani ya Ngome Kongwe,Zanzibar.
 Shaggy akiwapagawisha wanzanzibar.
 Ilikuwa ni Shangwe kwa kila aliefika katika uwanja wa Mambo ndani ya Ngome Kongwe,Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad