HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, June 26, 2011

HIVI HIZI AJALI A KIZEMBE ZITAISHA LINI??

 Hii imetokea pale Osterbay karibu kabisa na Club Maisha ambapo huyu mwenye pikipiki alikuwa akielekea huko ilikotokea hii gari ,lakini kutokana na kila mtu kuwa na mawazo yake kwa mwenzie ndio mwisho wake yakatokea haya.
 Jamaa wa hiyo pikipiki aliumia vibaya na hivyo kumlazimu dereva wa hilo gari kumkimbiza hospital kwa matibabu.
Nini kifanyike ili kutokomeza kabisa ajali kama hizi ambazo zinaweza kabisa kuzuilika??

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad