HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, June 26, 2011

TAJI LA VODACOM MISS PWANI 2011 LAENDA KWA WINIFRIDA GRACIAN

Vodacom Miss Pwani Winifrida Gracian katikati akiwa na mshindi wa pili Thuraiya Dabas(kushoto) na mshindi watatu Mariaclara Mathayo kwenye shindano hilo lililofanyika jana katika ukumbi wa TASUBA,Pwani Wilaya ya Bagamoyo.
Warembo tano bora waliotinga katika kinyanganyiro cha Vodacom Miss Pwani,shindano hilo lilifanyika hapo jana katika ukumbi wa TASUBA,Pwani Wilaya ya Bagamoyo.
Afisa tawala Wilaya ya Bagamoyo Daniel Machunda akimkabidhi zawadi ya shilingi 250,000 mshindi wa Vodacom Miss Pwani Winifrida Gracian mara baada ya kunyakua taji la shindano hilo lililofanyika jana katika ukumbi wa TASUBA,Pwani Wilaya ya Bagamoyo.
Afisa Udhamini wa Vodacom Tanzania Ibrahim Kaude kulia akimkabidhi zawadi ya shilingi 100,000 mshindi wa tatu Mariaclara Mathayo,shindano hilo lililofanyika jana katika ukumbi wa TASUBA,Pwani Wilaya ya Bagamoyo.
Mtaalam wa mambo ya habari wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu kushoto,Afisa Udhamini wa Vodacom Tanzania Ibrahim Kaude,Rahma Kaude,John Kilindo wakifatilia shindano la Vodacom Miss Pwani hapo jana ambapo Winifrida Gracian alinyakua taji hilo,shindano hilo lilifanyika katika ukumbi wa TASUBA,Pwani Wilaya ya Bagamoyo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad