Mratibu wa kusimamia sheria za afya na mazingira Manispaa ya Temeke William Muhemu akitoa mada kwa wafanyabiasha watakaonyesha bidhaa zao juu ya wajibu wa usalama wa vyakula na usafi wa mazingira katika maonyesho ya 35 ya biashara ya kimataifa Dar es salaam.
Afisa Viwango Mkuu wa Shirika la Viwango la Taifa (TBS) Obadiah Msaki aa akitoa mada kwa wafanyabiasha watakaonyesha bidhaa zao jana jijini Dar es salaam juu kuzingatia bidhaa zenye viwango katika maonyesho ya 35 ya biashara ya kimataifa Dar es salaam.
Baadhi ya wafanyabiashara watakaoshiriki maonyesho ya 35 ya biashara ya kimataifa Dar es salaam wakiwa katika semina elekezi ya maandalizi jana jijini Dar es salaam kabla ya kuanza kwa maonyesho ambayo yataanza rasmi tarehe 28 Juni mwaka huu. Jumla ya Nchi 17 zitashiriki maonyesho ya mwaka huu.picha na Tiganya Vincent, dar es salaam

No comments:
Post a Comment