HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, June 16, 2011

Miss Africa Crown Scandinavia 2010 aingia nchini leo

Miss Africa Crown Scandinavia 2010 Bi Michelle Jeng akiwapungia mkono wananchi waliokwenda kumlaki mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere jijini Dar es salaam leo. Bi. Michelle ni mtanzania anayeishi Sweden ambaye alishinda nafasi hiyo na atakuwa nchini kwa ajili ya shughuli za kijamii kama vile kuwatembelea walemavu wa ngozi , waathirika wa mabomu ya Gongo la Mboto na watoto yatima na kuwapa misaada.

Miss Africa Crown Scandinavia 2010 Bi Michelle Jeng akishuhudia kikundi cha ngoma toka Mburahati jijini Dar es salaam wakati kumlaki mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere jijini Dar es salaam leo. Bi. Michelle ni mtanzania anayeishi Sweden ambaye alishinda nafasi hiyo na atakuwa nchini kwa ajili ya shughuli za kijamii kama vile kuwatembelea walemavu wa ngozi , waathirika wa mabomu ya Gongo la Mboto na watoto yatima na kuwapa misaada.Picha na Tiganya Vincent, Dar es salaam

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad