HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, June 15, 2011

VODACOM MISS DAR INTER COLLEGE WAENDELEA KUJIFUA

Warembo watakaochuana katika shindano la kumtafuta Vodacom Miss Dar Inter College litakalofanyika Juni 17 wiki hii kwenye ukumbi wa Sun cirro uliopo Sinza jijini Dar es Salaam wakiwa katika maadalizi ya mwisho mwisho katika kambi yao ya mazoezi.mratibu wa shindano hilo, Angela Msangi amesema kuwa katika kunogesha fainali ya shindano hilo msanii maarufu wa muziki wa kizazi kipya ‘Bongo flava’, Dully Skyes atatumbuiza katika kusindikiza shindano hilo.
Warembo wakiendelea kupiga jalamba kujiandaa na shindano lao hilo.
Baadhi ya Warembo wakishoo lavu mbele ya kamera yetu wakati wa mazoezi yao.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad