
Baada ya wanavyuo kuwapigia kura wale wanaowachagua kunyakua tuzo za Excel with Grand Malt mwaka huu.. Sasa ni muda wa kukabidhi tuzo!!
Njoo ushuhudie wanavyuo wakinyakua tuzo za Excel with Grand Malt katika fani za; Ubunifu, Michezo, Mazingira, Utamaduni na Burudani.
Tamasha la Excel with Grand Malt Moshi litafanyika Jumamosi hii tarehe 18 June 2011 kwenye viwanja vya Ushirika.
Tamasha la Excel with Grand Malt MWANZA litafanyika Jumapili hii tarehe 19 June 2011 kwenye viwanja vya SAHARA.
Matamasha yote yataanza saa nne asubuhi, kutakuwa na michezo na zawadi mbalimbali za Grand Malt, na katika kusherehesha matamasha haya watakuwepo Temba, Chege na Wanaume TMK! Joh Makini na Chid Bebz.
Hakuna kiingilio na wote mnakaribishwa sana.
Ni muda wa wanavyuo wote kuhudhuria na kufurahia kwa pamoja –Ndio Bwana sote kwa pamoja tujumuike kwenye hili bonge la Tamasha
Usafiri utakuwepo vyuoni na kuwarudisha baada ya Tamasha.
Wanavyuo wote wa mikoa yote watapata nafasi ya kukutana na kufurahi kwa pamoja!!

No comments:
Post a Comment