Hapo hizo Daladala zilikuwa zikifukuzana katika barabara ya nyuu Bagamoyo rodi katika ule utaratibu wa njia tatu,na kwa kuwa mbele kulikuwa kuna gari nyingine ikija ambayo kiutaratibu wa nia hiyo ndio ilikuwa sahihi kupita katika upande huo ndipo walipolazimisha kurudi katika upande wao kwa mpigo na kufikia hatua hii inayoonekana hapa.sasa swali langu linakuja,hivi ni lini uzembe wa namna hii utakomeshwa kwa hawa majamaa wa daladala??
Wednesday, June 15, 2011
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment