Waziri mkuu wa uingereza,Mh. David Cameron akiwa katika picha ya pamoja na Balozi Peter Kallaghe pamoja na Familia yake wakati walipohudhuria Parade maalum inayofanyika kila mwaka ya kuadhimisha siku ya kuzaliwa kwa Malikia Elizabeth II.
Balozi Peter kallaghe akiwa na familia yake nje ofisi na makazi ya waziri mkuu wa nchi ya Uingereza Mh. David Cameroon, 10 Downing street, London.
Malkia Elizabeth ll akiwa katika gari linalovutwa na farasi wakati akiingia viwanjani hapo.
parade ya nguvu
Salam,
Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Peter A. Kallaghe na familia yake walipata mwaliko maalum katika ofisi ya waziri mkuu nchini uingereza mheshimiwa David Cameroon 10 Downing street, London siku ya Jumamosi tarehe 11/6/2011 kuhudhuria "trooping The colour", Parade maalum ya kila mwaka ya kuadhilimsha siku ya kuzaliwa kwa Malikia Elizabeth II.
Urban Pulse Creative





Huyu bwana toka kaletwa ubalozini yeye ni kujirusha u! Mara harusi ya kifalme, mara kaenda 10 downing street mara yuko Reading kuchoma nyama, basi ni kujirusha tu.
ReplyDeleteHajawai hata siku moja kutokea kwenye ITV, BBC, Ch 4 au Ch 5, kulitangaza taifa letu, au kwenye magezeti makubwa ya huku, wala kusikika kwenye radio za huku akilitangaza taifa, kasihia kuvaa suti na kujirusha tu.
Itabidi Rais wetu nae awe mwanagalifu kwa kuchagua mtu wa kutuwakilisha nchi za nje,