Meneja wa Kinywaji cha Grand Malt,Consolata Adam akiteta jambo na mmoja wa wageni waalikwa waliokuwa wamefika katika tamasha kubwa la kukabidhi Tuzo na fedha kwa washindi wa Tuzo za GrandMalt Exellence Award 2011 kwa wanafunzi wa vyuo vilivyopo mkoani Iringa hivi karibuni.
Sehemu ya Washindi wa fedha katika tamasha la Tuzo za GrandMalt Exellence Award 2011 lililofanyika mjini Iringa hivi karibuni.
Baadhi ya Wanafunzi na wakazi wa maeneo ya jirani wakimshangilia mwanamuziki wa Joh Makini alipokuwa akitumbuiza katika tamasha la kukabidhi Tuzo na fedha kwa washindi wa Tuzo za Grand Malt Exellence Award 2011 kwa wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu vilivyopo mkoani Iringa hivi karibuni.

No comments:
Post a Comment