Msosi hevi ukiandandaliwa katika mgahawa wa Mama Diko Diko Fasti Fudi uliopo maeneo ya Mwananyamala,jijini Dar.hapo ukishamaliza kugonga msosi wako waweza zama ndani ya swimingi puli lenye kunukia marashi ya pemba na kulilaksi ili msosi uteremke vyema.kuna utata???
Thursday, June 16, 2011
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


yaani hapo ni full kipindupindu mmh kweli uswazi ni noma!!
ReplyDelete