HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, June 16, 2011

MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA YAANZA RASMI KATIKA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA JIJINI DAR

Tangazo la Maadhimisho ya wiki ya Utumishi wa Umma katika viwanja vya Mnazi Mmoja.
Banda la Takukuru.
Wadau wa Mamlaka ya Elimu Tanzania wakimsikiliza mgeni.
Mie kikatika katika mabanda ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa wakati wa maadhimisho ya wiki ya utumishi wa umma iliyozinduliwa rasmi leo katika viwanja vya mnazi mmoja,jijini dar.
Banda la Wakala wa Taifa wa Utafiti wa Nyumba bora na Vifaa vya Ujenzi.
Banda la Benki Kuu likiwa limesheni watu mbali mbali waliopita hapo na kutaka kufahamu mengi yanayofanywa na Benki kuu.
Banda la Tume ya Utumishi wa Umma kama linavyoonekana.
Banda la Ofisi ya Waziri Mkuu likiwa limepambwa na picha za Mawaziri Wakuu waliotangulia mpaka wa sasa.
Mabanda ya Wizara ya Nishati na Madini na Wizara ya Mafunzo na Ufundi.
Banda la Wizara ya Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi.
Banda la Wizara ya Maliasili na Utalii.

Hawa jamaa sijui walifanyiana nini?? maana kila mmoja alinywea alipomuona mwenzake mpaka mie nikabaki kuduwaa na kushangaa tu.!!

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad