HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, June 16, 2011

MPANGO HUU SIJAUPATA VYEMA KWA KWELI

 Maana katika njia hii niliyokuwa nikiipita mchana wa leo,nililikuta hili tinga tinga likiweka sop sop mtaa huu ambao ni kama kipande vile ulivyo kutokana na unavyoonekana mbele ambapo kuna mapanda njia ya kuelekea kushoto na kulia.lakini huko kushoto na kulia ni kama kumesahaulika vile kutokana na hali yake kuwa kama ile ya awani na sidhani kama kutakuwa na mpango ya kuipiga sop sop kama kilivyo kipande hiki ambacho sasa kinarudiwa kwa mara ya tatu kama sikosei kupigwa sop sop kama hivi.
Kwenye lile geti ndiko inakoishia lami hii,na ukienda kushoto utalia na ukielekea kulia ndio utazimia kabisa kutokana na jinsi kulivyo.sasa sijui huu ni utaratibu gani na mlengwa ni nani wa kuweza kufanya haya??

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad