
Afisa Mahusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL),Edith Mushi akizungumza  na waandishi wa habari wakati wa kuwatambulisha wasanii wa muziki  kutoka nchini Uganda,Mayanya Douglas a.k.aWease (kushoto) na Ssekibogo  Moses a.k.a Radio ambao wataambatana na wasanii wa hapa nchini  walioshinda tuzo za Kili Music Awards katika safari yao ya mikoa mitano  hapa nchini kutoa shukrani kwa wananchi waliowawezesha kushinda tuzo  hizo.Shughuli hii imefanyika mchana huu New Club Maisha,jijini Dar.

Afisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL),Edith Mushi akiteta jambo na Mwarabu wa Dubai a.k.a Mpoki mchana wa leo mara baada ya mkutano na waandishi wa habari. 

Meneja wa Bendi ya Mapacha Watatu,Hamis Dakota (kati) akiwa na wasanii kutoka nchini Uganda,Wease (shoto) na Radio.

Picha ya Pamoja ya wasanii wa muziki hapa nchini na wale wa Uganda  pamoja na Afisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL),Edith Mushi  (Katikati) mara baada ya kuongea na waandishi wa habari mchana wa leo.

No comments:
Post a Comment