HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, May 6, 2011

TBL YAKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KITUO CHA KILIMANJARO KWA MAANDALIZI YA KILI TAIFA CUP

Afisa mauzo wa TBL mkoa wa Kilimanjaro Edimund Rutaraka akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa iliyofanyika katika uwanja wa chuo kikuu kishiriki cha ushirika na biashara,kushoto ni mratibu wa habari kutoka kampuni ya Executive solution,Tamika Chikawe,kulia ni mwenyekiti wa chama cha soka mkoa wa Kilimanjaro Andrew Simkoko.
Mwenyekiti wa chama cha soka mkoa wa Kilimanjaro Andrew Simkoko akikabidhi jezi kwa kiongozi wa timu ya taifa ya vijana Jamhuri Kihweru(Julio).
Geradi munisi akionesha uzi utakaotumiwa na timu ya mkoa wa Arusha.katika mashindano ya Kili taifa cup.
Mwenyekiti wa chama cha soka mkoa wa Kilimanjaro Andrew Simkoko akikabidhi jezi kwa kiongozi wa timu ya mkoa wa Tanga Juma Mgunda.
Afisa mauzo mkoa wa Kilimanjaro Edmund Rutaraka akikabidhi jezi kwa mwenyekiti wa chama cha soka mkoa wa Kilimanjaro Andrew Simkoko.
Viongozi wa timu nne zinazoshiriki michuano ya kili taifa cup,kutoka kushoto ni Jamhuri Kiweru(Julio) wa timu ya U-23,Juma mgunda wa timu ya Tanga ,Gerad Munsi wa timu ya Arusha na Abuu Mrutu wa timu ya Kilimanjaro.Picha na Dixon Busagaga,Moshi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad