HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, May 31, 2011

VUNJA MBAVU ZA EVANCE BUKUKU USIKU HUU

Mchekeshaji Maarufu nchini,Evance Bukuku akiwavunja mbavu wapenzi wa vichekesho vyake waliohudhulia kwa wingi usiku huu katika kiota cha SweeteEazy kilichopo Masaki jijini Dar.
Evance Bukuku akifanya vitu vyake usiku huu ndani ya Sweet Eazy.
Mchezaji wa Mpira wa Kikapu nchini Marekani,Hasheem Thabeet akizungumza katika Shoo ya Vichekesho vya Evance Bukuku ndani ya Sweet Eazy usiku huu.
Mchekeshaji wa kundi la Vuvuzela Entertainment chini ya Mchekeshaji Maarufu hapa nchini afahamikae kwa jina la Evance Bukuku,Dogo Pepe akiwavunja mbavu wadau waliofika katika shoo hiyo usiku huu.
Hasheem Thabeet akizungumza usiku huu huku MC Taji Liundi akimtizama.
Ankal a.k.a Mzee wa Libeneke nae yumo katika libeneke la uchekeshaji na hapa akionyesha namna anavyopataga shinda kumpiga picha Hasheem Thabeet kutokana na urefu alionao.
Ankal akiendeleza libeneke lake.
MC Taji Liundi.
Wadau.
Mchekeshaji wa kundi la Vuvuzela Entertainment chini ya Mchekeshaji Maarufu hapa nchini afahamikae kwa jina la Evance Bukuku,Enika akifanya vitu vyake usiku huu.
Vicheko vikitawala kwa kila aliefika Sweet Eazy usiku huu.
Wapenzi wa Shoo za Vuvuzela Entertainment wakiburudika na vichekesho vilivyokuwa vikiendelea kuonyeshwa na watu mbali mbali waliofika Sweet Eazy usiku huu.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad