Katibu Mtendaji wa Tume ya Taifa ya UNESCO Profesa Elizabeth Kiondo(kushoto) akikabidhi komputya na vifaa mbalimbali vya maabara kwa ajili ya Shule ya Sekondari ya Barabara ya Mwinyi ya wilayani Temeke jijini Dar leo. Vifaa hivyo vimegharimu shilingi milioni 18. Anayepokea Komputya ni Afisa Elimu Taalum wilaya ya Temeke Rehema Mbwillo.
Katibu Mtendaji wa Tume ya Taifa ya UNESCO Profesa Elizabeth Kiondo(kushoto) akikabidhi vitabu vya masomo ya sayansi na vifaa mbalimbali vya maabara kwa ajili ya Shule ya Sekondari ya Barabara ya Mwinyi ya wilayani Temeke. Vifaa hivyo vimegharimu shilingi milioni 18. Anayepokea vitabu hivyo ni Afisa Elimu Taalum wilaya ya Temeke Rehema Mbwillo.
No comments:
Post a Comment