HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, May 6, 2011

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU WA UNITED BANK OF AFRICA

Makamu wa Rais Dkt. Mohamed Gharib Bilal, akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa United Bank Of Africa, Ajobola Abiola (katikati) wakati alipofika Ikulu Dar es Salaam leo kwa ajili ya mazungumzo.Kushoto ni Ofisa wa benki hiyo, Lilian Mboja.
Makamu wa Rais Dkt. Mohamed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa United Bank of Africa, Ajobola Abiola (wapili kushoto) na Ofisa wa benki hiyo, Lilian Mboja (kulia) na Shiraz Jafar, wakati walipofika Ikulu Dar es Salaam leo kwa ajili ya mazungumzo. Picha na Muhidin Sufiani-VPO

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad