Hii ni Barabara ya Mandela Road ambapo kukiwa na foleni ya kutosha basi magari mengi hulazimika kutumia njia tatu kama inavyoonesha picha hii iliyonaswa na kamera yetu.
Saturday, May 14, 2011
Home
Unlabelled
NJIA TATU KAMA KAWA BARABARA YA MANDELA ROAD
NJIA TATU KAMA KAWA BARABARA YA MANDELA ROAD
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

Jamani uchafu wa kutisha. Ivi bongo kutastaarabika lini jamani? Kwanini mikoa yote isiige mji wa Moshi? Inachefua kweli wanatz. alafu viongozi wanapita hapo wakienda TMJ hosp kiila leo. Wadau changieni jamani. Halimashauri ya jiji ipo au imelala? Mtakufa kwa uchafu watz, lalamikieni viongozi wenu mliowachagua.
ReplyDelete