hapo kitu kinapea kama kawa,tena hata presha hakina.
vituo vya daladala mambo ndio kama hivi tena.
Barabara zote zageuka madimbwi ya maji kama hivi.
Bonde la Jangwani ndio usiseme,kama gari lako sio la foowili basi imekula kwako.
hili sio dampo la kutupia taka,bali ni mtaro wa maji.

No comments:
Post a Comment