Afisa Mtendaji Mkuu wa Biashara wa Airtel Tanzania, Bw. Chiruyi Walingo (kulia), akizungumza na washiriki wa mafuzo ya siku moja ya ufanisi wa kibiashara kwa mawakala na wasambazaji wa huduma za airtel jinini Dar es Salaam jana. Katika mkakati wa kampuni ya Airtel kuendelea kuwajengea uwezo na ufanisi wa kibiashara wasambazaji wa huduma pamoja na bidhaa za mawasiliano ya simu za mkononi, kampuni imeandaa mfululizo wa mafunzo mahsusi kwa wajasili amali wadogowadogo na wale wa kati. Mafunzo ya jana yalishirikisha zaidi ya washiriki 200.
Sunday, May 29, 2011
Home
Unlabelled
Mawakala na wasambazaji huduma zaidi ya 200 wajengewa uwezo wa kibiashara na Airtel
Mawakala na wasambazaji huduma zaidi ya 200 wajengewa uwezo wa kibiashara na Airtel
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment