
Mwanamuzi bora wa nyimbo za kizazi kipya bongo fleva, Twenty Percent akitumbuiza wakati wa tamasha la wanamuzi walioshinda tuzo za Kilimanjaro Music 2011 lililofanyika mwishoni mwa wiki kwenye Uwanja wa Chuo cha Ushirika Moshi (MUCCoBS) na kudhaminiwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kupitia bia yake ya Kilimanjaro.
Wanamuzi bora wa Hip Hop, Jacob Makala 'JCB' (kulia) na Daudi Bakari wakitumbuiza wakati wa tamasha la wanamuzi walioshinda tuzo za Kilimanjaro Music 2011 lililofanyika mwishoni mwa wiki kwenye Uwanja wa Chuo Cha Ushirika Moshi (MUCCoBS) na kudhaminiwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kupitia bia yake ya Kilimanjaro.

Mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya kutoka THT, Linah akitumbuiza wakati wa tamasha la wanamuzi walioshinda tuzo za Kilimanjaro Music 2011 lililofanyika mwishoni mwa wiki kwenye Uwanja wa Chuo cha Ushirika Moshi (MUCCoBS) na kudhaminiwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kupitia bia yake ya Kilimanjaro.

Mapacha Watatu wakilishambulia jukwaaa vilivyooo.
Rapa wa bendi ya Mapacha Watatu, Kharid Chokoraa akigani wakati bendi hiyo ilipotumbuiza katika onyesho la wanamuzi walioshinda tuzo za Kilimanjaro Music 2011 lililofanyika mwishoni mwa wiki kwenye Uwanja wa Chuo cha Ushirika Moshi (MUCCoBS) na kudhaminiwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kupitia bia yake ya Kilimanjaro.

No comments:
Post a Comment