
Maeneo ya Bamaga

Maeneo ya Tandale Chama

Eneo la Ilala soko la Mchikichini

Eneo la kwa Mtogole

Msela akijichotea maji ambayo haikufahamika mara moja alikuwa anaenda kuyafanyia nini??maana haya maji ni machafu sana.

Yaani Full Maji kila kona.

Biashara leo hakuna maana maji yamejaa mpaka basil
Tunasubiri kusherehekea miaka 50 ya uhuru!!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteSasa hali hii magonjwa ya kuambukiza yataisha kweli,poa lakini naona jamaa anavua kambare barabarani.
ReplyDeleteDar bila madibwi na vijito vidogo wakati wa mvua haiwezekani kabisa!!
ReplyDelete