Dereva wa Rav 4 akiovateki lori na ili hali akiona kabisa mbele yake kuna gari nyingine inakuja.

Hizi ndivyo madereva wetu wanavyoendesha magari katika barabara zetu kuu ziendazo mikoani.

Chalinze hapa kuna machinga kibao kama waoenekanavyo pichani.

Hii basi ilipasuka tairi ya mbele na kupelekea kupinduka,na hapo ndio uimefanyiwa mpango wa kunyanyuliwa na kuwekewa stendi ya miti ili isianguke tena.

Ngoma ileeeee..... ishapoteza muelekea.

Njia panda ya Segera.ukikata kulia unakwenda mkoani Tanga na kushoto ni Moshi mpaka Arusha.
Tahadhali Babarani...

Kijimshkaki kikikatiza mitaa ya Korogwe.

Hapa ni kutokea Segera kuelekea huko.
Maeneo ya Mwanga.

Stendi ya mabasi ya Same inavyoonekana sasa.
Wazee wa Boda Boda wakisikilizia vichwa.
Safari ni Safari,bora kufika salama.
Maeneo ya Himo.

Njia panda ya Himo,ukielekea kulia ni Marangu na kushoto ni Moshi mpaka Arusha.
Asante sana kwa picha nzuri sana hizi....nazipenda sana!
ReplyDeletePamoja daima!
Chibi.
madereva hao ni wabaya sana hapo nchini kwetu - these guys are comparable to wajambazi who kill innocent people. how come tuna waruhusu hao madereva nchini? So indirectly the serekali is killing its own people because hawajali what happens to citizens of tanzania - shame on our government - hizo pictures should be e-mailed to Mh Kikwete. that is my opinion.
ReplyDelete