HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, May 14, 2011

HIVI HII GARI ITAITWAJE??

maana mimi nakumbuka niionaga kwenye video enzi za muvi za kina Amita Bachani,ila jina lake ndio utata.

11 comments:

  1. Gari hii inaitwa Ford Anglia, ni gari ya kutoka Uingereza. Ilikuwa na 3 speed gear, yaani 3 za kwenda mbele na rivas, tofauti na magari mengi yenye gia 4 za kwenda mbele, milango miwili lakini ilikuwa ngumu sana

    ReplyDelete
  2. The Ford Anglia is a British car designed and manufactured by Ford in the United Kingdom. It is related to the Ford Prefect and the later Ford Popular. The Ford Anglia name was applied to four models of car between 1939 and 1967.and is replaced by ford escort my friend,kuuliza si ujinga now you know-Mdau HSFC,Toronto

    ReplyDelete
  3. inaitwa RADA Gari ya kirusi(Ukraine ) hadi sasa zinatumika hapa ukraine ina ina tengenezwa na kiwanda kinaitwa zaparoja

    ReplyDelete
  4. ni ford anglia kama alivyo sema kaka kitime mwana hiyo sio mchezo enzizake ndo kama gx110 sasa watoto wa mjini ndo walikuwa wanatumia baada ya bito

    ReplyDelete
  5. Ford Anglia !............... umenipeleka mbali, marehemu Baba yangu (Allah ampe kheri!)alikuwa nayo, naikumbuka mpaka usajili TDD 977.

    ReplyDelete

Post Bottom Ad