Gari hii inaitwa Ford Anglia, ni gari ya kutoka Uingereza. Ilikuwa na 3 speed gear, yaani 3 za kwenda mbele na rivas, tofauti na magari mengi yenye gia 4 za kwenda mbele, milango miwili lakini ilikuwa ngumu sana
The Ford Anglia is a British car designed and manufactured by Ford in the United Kingdom. It is related to the Ford Prefect and the later Ford Popular. The Ford Anglia name was applied to four models of car between 1939 and 1967.and is replaced by ford escort my friend,kuuliza si ujinga now you know-Mdau HSFC,Toronto
Gari hii inaitwa Ford Anglia, ni gari ya kutoka Uingereza. Ilikuwa na 3 speed gear, yaani 3 za kwenda mbele na rivas, tofauti na magari mengi yenye gia 4 za kwenda mbele, milango miwili lakini ilikuwa ngumu sana
ReplyDeleteFord Anglia hiyo bro...
ReplyDeleteFord Anglia.....
ReplyDeleteThe Ford Anglia is a British car designed and manufactured by Ford in the United Kingdom. It is related to the Ford Prefect and the later Ford Popular. The Ford Anglia name was applied to four models of car between 1939 and 1967.and is replaced by ford escort my friend,kuuliza si ujinga now you know-Mdau HSFC,Toronto
ReplyDeleteHiyo ni Ford Anglia
ReplyDeleteFORD CORTINA...
ReplyDeleteKaka
ford cortina
ReplyDeleteinaitwa RADA Gari ya kirusi(Ukraine ) hadi sasa zinatumika hapa ukraine ina ina tengenezwa na kiwanda kinaitwa zaparoja
ReplyDeleteHiyo ni Ford
ReplyDeleteni ford anglia kama alivyo sema kaka kitime mwana hiyo sio mchezo enzizake ndo kama gx110 sasa watoto wa mjini ndo walikuwa wanatumia baada ya bito
ReplyDeleteFord Anglia !............... umenipeleka mbali, marehemu Baba yangu (Allah ampe kheri!)alikuwa nayo, naikumbuka mpaka usajili TDD 977.
ReplyDelete