MFANYAKAZI BORA WA WA KIUME HAIR DESIGNER OMARY MKUBARU (CHUDA) AKIPOKEA ZAWADI YA SIMU YA MKONONI NA PESA TASLIMU SH. 50,000/- TOKA KWA DK. OTHMAN WANINI NA MKURUGENZI MKUU WA BM BARBER & BEAUTY CENTRE BW, BENNO J. CHELELE (MD) KWENYE HAFLA YA KUWATUNUKU WAFANYAKAZI ILIYOFANYIKA SALUNI HAPO MTAA WA SEKENKE, KINONDONI, DAR
BEAUTICIAN ANAITWA NEEMA MUSHI AKIPOKEA ZAWADI YA SIMU NA PESA TASLIMU SH. 50,000/- TOKA KWA DK. OTHMAN WANINI, MWENYE MIWANI NI MR. PENDAELI SINGA NA MWISHO NI MD BENNO J. CHELELE
WAFANYAKAZI WA BM WAKIFANYA CHIAAAZZZZZZ KWENYE HAFLA HIYO
PICHA YA PAMOJA YA WAFANYAKAZI NA VIONGOZI WA BM BARBERSHOP & BEAUTY CENTRE AMBAO WAPO KINONDONI A MTAA WA SEKENKE
SIMU 0655 10 00 16 AU 266 8672
No comments:
Post a Comment