HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, April 11, 2011

Vodacom Foundation yaisaidia shule ya msingi mapindi madawati 300 leo

Mkurugenzi mtendaji wa Vodacom Tanzania Dietlof Mare akimkabidhi moja kati ya madawati 300 Edina Edson ambaye ni mwanafunzi wa shule ya msingi Mapinduzi ya Kigogo jijini Dares Salaam, shule zingine zitazonufaika na msaada huo ni Kigogo Fresh,Ilala,Bunge .wakishuhudia ni wanafunzi wenzake Mohamed Komba na Sophia Omary,Vodacom Foundation imezindua rasmi kampeni ya kugawa madati 1000 kwa shule za msingi nchini.
Mkurugenzi mtendaji wa Vodacom Tanzania Dietlof Mare akiruka kutoka kwenye dawati mara baada kupiga picha ya pamoja na wanafunzi wa shule ya msingi Mapinduzi ya Kigogo jijini Dares Salaam,mara baada ya kukabidhi msaada wa madawati 300, shule zingine zitazonufaika na msaada huo ni Kigogo Fresh,Ilala,Bunge Vodacom Foundation imezindua rasmi kampeni ya kugawa madawati 1000 kwa shule za msingi nchini.
.Baadhi ya wanafunzi wakiwa wanasikiliza hotuba toka kwa Mkurugenzi mtendaji wa Vodacom Tanzania Dietlof Mare mara alipofika katika shule ya msingi Mapinduzi kutoa msaada wa madawati 300 kwenye shule za msingi za Kigogo Fresh,Ilala,Bunge,Vodacom Foundation imezindua rasmi kampeni ya kugawa madawati 1000 kwa shule za msingi nchini.
Ofisa Mkuu Mtendaji wa masoko na mahusiano wa Vodacom Tanzania Mwamvita Makamba akipunga mkono kuashiria kuwaaga wanafunzi wa shule za msingi mapinduzi,Ilala,Bunge na Kigogo Fresh mara baada ya kampuni yake kukabidhi msaada wa madawati 300 kwa shule hizo, Vodacom Foundation imezindua rasmi kampeni ya kugawa madawati 1000 kwa shule za msingi nchini,makabidhiano hayo yalifanyika katika shule ya msingi Mapinduzi Kigogo Dares Salaam,katikati Mkurugenzi mtendaji wa Vodacom Dietlof mare,Mwalimu Mkuu wa shule ya msingi Mapinduzi Gerald Amani.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad