Hivi kwa mfano huyu jamaa amepata ajali na hiyo pikipiki yake halafu kofia ndio kama hivyo ilivyovaliwa na sura haionekani,ni nini kitatokea hapo endapo wasamalia wema watakuwa wamejitokeza kili mkumsaidia??? Maana mambo mengine watu wanajifanyia kiholela tu bila hata ya kufahamu ni madhara gani yatatokea mbele yake.
Saturday, April 23, 2011

Home
Unlabelled
UVAAJI WA KOFIA ZA KIUSALAMA KWA WAENDESHA PIKIPIKI
UVAAJI WA KOFIA ZA KIUSALAMA KWA WAENDESHA PIKIPIKI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment