Gari Aina ya Volkswagen Passat TDI Sports Inauzwa.Mwaka - 1999ina Open Roof,ABS,A/C,Driver Air Bag Protection.Ni Automatic Gear.Bei: Mil. 17(mazungumzo yapo)kwa mawasiliano+255 (0) 777 528 446(kwa wanunuzi tu,dalali haitajiki)inavyoonekana kwa ndaniMbeleNyuma na Ubavu wa kulia unavyoonekana.Ina buti kubwa la kutosha kwa mizigo mbali mbali.
No comments:
Post a Comment