HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, April 23, 2011

KAMERA YA MTAA KWA MTAA NA MATUKIO YA MBAGALA LEO

Kona ya kutokea Mtongani kuelekea KTM
Kutokea kwa Aziz Ally kuelekea Mbagala.
Hii ni eneo korofi sana katika eneo hili la Mbagala,hapa ni Rangi tatu ambapo wataalam wa ujenzi wa barabara hiyo ya Kilwa rodi wanaendelea kuumiza vichwa ili kudhibiti kipande hiki kikorofi.
Mambo ya Kitoweo hayoooo......
Yaahi hiki kipande cha hapa rangi tatu,Mabala ni kishakuwa ni tatizo sugu.maana magari yenyewe hulazimika kwenda taratibu ili kuhakikisha usalama katika vyombo vyao.
Maji ya mvua yamechimba hapa.
Wateja wanasubiriwa kwa hamuu....

Yaani hili foleni la hapa Rangi tatu ni lazima uwe na mafuta ya uhakika katika gari lako,maana kama si huvyo basi yatakukuta kama yaliyomkuta huyu mdau hapa.
Mambo ya kidebe hayo yanavyodhalilisha watu kwenye mafoleni.
Wa pikipiki guta akisikilizia vichwa huku akiwa amepaki chombo chake majini.
Foleni badoo ni ndefu kweli kweli.
Kituo kikuu cha daladala cha Chanika.
Njiani kuelekea Chanika.
Sehemu ya soko la Mbagala rangi tatu kwa upande wa nje.
Mbagala Zhakiem.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad