HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, April 13, 2011

TAMASHA LA MUZIKI WA INJILI KUFANYIKA JIJINI DAR

Msimamizi wa AFLEWO,Mchungaji Abel Orgenes akizungumza na waandishi wa habari juu ya tamasha lao la muziki wa injili litakalofanyika April 15 katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar.
Mratibu wa Tamasha na Muziki wa Injili lifahamikalo kwa jina la AFLEWO,Mchungaji Safari Paul akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa mikutano wa kanisa la Pentekosti,lililopo Kinondoni juu ya Tamasha hilo litakalofanyika Aprili 15,katika ukumbi wa Diamond Jubilee.kulia ni Mkurugenzi wa Muziki,Samuel Mwangati na kushoto ni Msimamizi wa AFLEWO,Mchungaji Abel Orgenes.
Mmoja wa waimbaji watakaolipamba tamasha hilo,John Lisu akiimba na kupiga gita wakati wa mkutano na waandishi wa habari.

1 comment:

  1. SAAAAFI SANA MCHUNGAJI ABEL. ENDELEA NA KAZI YA MUNGU. UTALIPWA HAPA DUNIANI NA ZAIDI SANA KATIKA UFALME WAKE. HII NI KAMA HAUTA ZIMIA MOYO.

    MUNGU AKUBARIKI SANA

    J. J. Ringo- ringosjukik2000@yahoo.com
    MOROGORO

    ReplyDelete

Post Bottom Ad